BBC News, Swahili - Habari

 • Uchaguzi wa Marekani 2020

  Mkusanyiko wa makala kuhusu uchaguzi wa urais wa Marekani

 • Uchaguzi Mkuu umefanyika nchini Tanzania Oktoba 28, tayari matokeo yameshaanza kutoka katika baadhi ya majimbo. Kura zinaendelea kuhesabiwa na matokeo ya jumla yanatarajiwa kuwa wazi ndani ya kipindi cha wiki moja.

Sikiliza, Charli D'Amelio afikisha mashabiki 100m, Muda 2,01

Charli D'Amelio kutoka Norwalk, ndio bingwa wa Mtandao wa TikTok baada ya kufikisha mashabiki milioni 100.

Jinsi mifuko ya plastiki inavyotumika katika mitindo

Picha mbalimbali ikionesha historia ya Waghana wakitumia mifuko ya plastiki kuwa mavazi.

Video, Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumatatu, Muda 23,42

Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumatatu 23/11/2020 na Zuhura Yunus

 • Dira Ya Dunia, 18:29, 24 Novemba 2020

  Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki

 • Amka Na BBC, 06:59, 24 Novemba 2020

  Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

 • Amka Na BBC, 05:59, 24 Novemba 2020

  Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

 • MBELE Amka Na BBC, 05:59, 25 Novemba 2020

  Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

  • Matumizi ya Lugha

   Pengine kitu muhimu kabisa katika uandishi wa habari ni lugha. Kutumia lugha sawa na sahihi inawapa nafasi waandishi wa habari kuripoti habari na wakati huohuo kufuata mwongozo wa uhariri wa BBC. Lugha inaendelea na kubadilika; hapa utapata ushauri kuhusu lugha sahihi na isiyopendelea, athari za mitandao ya jamii juu ya lugha yako na mengi zaidi.

  • Sikiliza, Njia za kukabili habari feki mtandaoni, Muda 6,57

   Habari za uzushi au habari feki zimekuwa zinasambazwa haraka, hasa katika mtandao wa internet. Vipi waandishi wa habari wazikabili.