Mkuu wa Jeshi la Polisi , Simon Sirro amesema mtandao wa magaidi ulianzia Kibiti,Rufiji nchini Tanzania

Mkuu wa jeshi la Polisi nchini Tanzani Saimoni Siro amekiri kutokea kwa uvamizi wa kundi la kigaidi mkoani Mtwara, kusini mwa Tanzania.

Siro amesema Magaidi hao walikuwa zaidi ya mia tatu ambao walileta uharibifu na Mauaji katika kijiji cha Kitaya Mkoani Mtwara.

Miezi michache iliyopita Tanzania ilituma Jeshi katika maeneo ya kusini mwa nchi hiyo kufanya msako wa magaidi hao wanaoripotiwa kuwepo mpakani mwa Tanzania na Msumbiji .

Humphrey Mgonja anaeleza zaidi.