Hii ni Afrika: Awilo Longomba aeleza kilichomo ndani ya mkoba wake

Awilo Longomba anakushirikisha kile kilichomo ndani ya mkoba wake kwa ajili ya BBC Hii ni Afrika.