Jiwe kubwa linalocheza nchini Tanzania

Kaskazini Magharibi mwa Tanzania kuna jiwe kubwa ambalo hucheza lililoko katika kisiwa cha Ukerewe mkoani mwanza, Jiwe hilo huwavutia watalii wengi ambao kila mwaka humiminika huko kuliona.

Mwandishi wa BBC, Esther Namuhisa ametuandalia taarifa ifuatayo;