Wanawake waanzisha biashara ya sidiria za saratani

Kate Courtman na Sarah Mountford wameanzisha biashara ya kuuza sidiria kwa wanawake walio na saratani ya matiti hasaa wale waliofanyiwa upasuaji nchini Uingereza.

wawili hao pia walikuwa na saratani na kisha kupona.watazame kwenye tovuti ya BBC wakielezea sababu zilizowapelekea kuanzisha biashara hiyo.