Wanawake 100 wa BBC: Waziri mkuu mdogo zaidi duniani

Sanna Marin ni waziri mkuu mdogo zaidi duniani ambaye ni mwanamke.

Nchini Finland, anaongoza muungano wa vyama vitano, vyote vikiongozwa na mwanamke.

Kutoka kwenye taifa la kwanza barani ulaya kutoa haki ya uhuru wa kupiga kura...

Finland imesifiwa kwa kuhamasisha masuala ya usawa wa jinsia.

Lakini mambo si mazuri kama yanavyodhaniwa?