Uchaguzi Tanzania 2020: Thamani ya kura yangu

Wakati Kampeni za uchaguzi zikitia nanga nchini Tanzania wapiga kura wamekuwa na mitazamo tofauti juu ya kura walizopiga Mwaka 2015.

Kipindi cha Kampeni wapiga kura hupata nafasi ya kusikia sera na ahadi mbali mbali toka kwa wagombea kabla ya kuchagua viongizi wao kwa kipindi Cha miaka mitano.

Eagan Salla ametuandalia video hii.