'Nilianza kwa kutengeneza mkono wa kaka yangu lakini sasa ndio biashara yangu'

Sherehe za mwaka mpya wa 2017, Abokobong Amanam alipata ajali ya moto na kupoteza vidole vyake viwili.

Hakufahamu kuwa ajali yake ingeweza kumfanya kaka yake John kuvutiwa kuanza biashara ya kuteneza viungo bandia vya mwili vya rangi ya ngozi ya mwafrika.