Mlima mrefu barani Afrika bado unawaka moto

Huku jitihada mbalimbali zikiendelea kufanyika bado moto unaendelea kuchoma baadhi ya maeneo katika mlima Kilimanjaro

Waziri wa maliasili na utalii anasema kuwa serikali inatarajia kupeleka ndege za kusaidia kuzima moto huo.